Australia Free Web Directory

Shambani pro | Agriculture



Click/Tap
to load big map

Shambani pro

Phone: +61 450 353 358



Reviews

Add review



Tags

Click/Tap
to load big map

22.01.2022 Tafiti zinaonyesha kuwa, 1.Ukame & mafuriko 2.Magonjwa & wadudu 3.Ugumu wa masoko Ndizo changamoto kuu ktk kilimo ... Je ni changamoto ipi kati ya hizo unaihofia zaidi?



21.01.2022 Uongozi wa Shambani pro unawatakia wadau wote wa kilimo heri na baraka ya sikukuu ya Krismass. Tuombe Mungu atufikishe salama 2021

20.01.2022 UDHIBITI WA MAGUGU KWA KUTUMIA VIUA MAGUGU (HERBICIDES) Hasara za magugu na magugu katika kilimo Magugu ni mmea wowote ulioota sehemu isiyokusudiwa. Utafiti unaonyesha kuwa barani afrika magugu ndio sababu kuu ya kupungua. Magugu hupunguza 16% uzalishaji, wakati wadudu na magomjwa hupunguza tija kwa asilimia 13% kila kimoja. Udhibiti wa magugu kwa kutumia kemikali Pamoja na athali zilizothibitika kimazingira na kiafya. Bado tafiti zinaonyesha kuwa udhibiti wa magugu ya nj...Continue reading

11.01.2022 https://www.facebook.com/100008127314574/posts/2561888647425354/



Related searches